2 Samweli 7:18
Ndipo Mfalme Daudi akaingia ndani, akaketi mbele za Bwana, akasema: “Ee Bwana Mwenyezi, mimi ni nani, na jamaa yangu ni nini, hata umenileta mpaka hapa nilipo?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Nathani akamwarifu Daudi maneno yote ya maono haya. 1 Maombi Ya Daudi (1 Nyakati 17:16-27)
Cross References
Genesis 32:10mimi sistahili fadhili na uaminifu wako wote ulionitendea mimi mtumishi wako. Nilikuwa na fimbo tu mkononi mwangu nilipovuka mto huu wa Yordani, lakini sasa ninayo makundi mawili.
Exodus 3:11Lakini Mose akamwambia Mungu, “Mimi ni nani hata niende kwa Farao kuwatoa Waisraeli nchini Misri?”
Ruth 2:10Kwa ajili ya hili, akasujudu mpaka nchi, akamwambia, “Jinsi gani nimepata kibali machoni pako, hata ukanijali mimi mgeni?”
1 Samuel 15:17Samweli akamwambia, “Ingawa zamani ulijiona mdogo machoni pako mwenyewe, Je, hukuwa kiongozi wa kabila za Israeli? Bwana alikutia mafuta kuwa mfalme juu ya Israeli.
2 Samuel 23:5“Je, si hivyo ilivyo nyumba yangu 2 mbele za Mungu? 1 Je, hajafanya Agano la milele nami, 2 lililopangwa na kuimarishwa 2 kila sehemu? 1 Je, hatanifanya niufurahie wokovu wangu 2 na kunijalia matakwa yangu yote? 1
1 Chronicles 29:14“Lakini mimi ni nani, nao watu wangu ni nani, hata tuweze kukutolea kwa ukarimu namna hii? Vitu vyote vyatoka kwako, nasi tumekutolea tu vile vitokavyo mkononi mwako.