2 Samweli 23:5
“Je, si hivyo ilivyo nyumba yangu 2 mbele za Mungu? 1 Je, hajafanya Agano la milele nami, 2 lililopangwa na kuimarishwa 2 kila sehemu? 1 Je, hatanifanya niufurahie wokovu wangu 2 na kunijalia matakwa yangu yote? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Lakini watu waovu wote 2 watatupwa kando kama miiba, 2 ambayo haikusanywi kwa mkono. 1
Cross References
Genesis 9:16Wakati wowote upinde wa mvua unapotokea mawinguni, nitauona na kukumbuka Agano la milele kati ya Mungu na viumbe vyote vilivyo hai vya kila aina duniani.”
1 Samuel 25:28Tafadhali samehe kosa la mtumishi wako, kwa kuwa Bwana kwa hakika ataifanya imara nyumba ya ufalme kwa bwana wangu, kwa sababu anapigana vita vya Bwana.
2 Samuel 7:18Ndipo Mfalme Daudi akaingia ndani, akaketi mbele za Bwana, akasema: “Ee Bwana Mwenyezi, mimi ni nani, na jamaa yangu ni nini, hata umenileta mpaka hapa nilipo?
2 Samuel 13:14Lakini Amnoni akakataa kumsikiliza, na kwa kuwa alikuwa na nguvu kuliko Tamari, akamtenda jeuri.
2 Samuel 18:14Yoabu akasema, “Mimi sitapoteza muda hapa pamoja nawe.” Hivyo akachukua mikuki mitatu mkononi mwake, akamchoma Absalomu nayo moyoni alipokuwa angali hai akiningʼinia katika ule mwaloni.
1 Kings 2:24Basi sasa, hakika kama Bwana aishivyo, yeye ambaye ameniimarisha salama kwenye kiti cha ufalme cha Daudi baba yangu, naye amenipa ufalme wa kudumu kama alivyoahidi, Adoniya atauawa leo!”