bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 7 › 2 Samweli 7:28
2 Samweli 7:28
Ee Bwana Mwenyezi, wewe ndiwe Mungu! Maneno yako ndiyo kweli, nawe umemwahidi mtumishi wako mambo haya mazuri.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And now, O Lord GOD, thou art that God, and thy words be true, and thou hast promised this goodness unto thy servant:
In Context
27“Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, umelifunua hili kwa mtumishi wako, ukisema, ‘Nitakujengea nyumba.’ Hivyo mtumishi wako amepata ujasiri kukuletea dua hii.
29Sasa naomba uwe radhi kuibariki nyumba ya mtumishi wako, ili idumu mbele zako milele, kwa maana wewe, Ee Bwana Mwenyezi, umesema, na kwa baraka zako nyumba ya mtumishi wako itaendelea kubarikiwa milele.”
Read all of 2 Samweli 7
Cross References
Exodus 34:6Bwana akapita mbele ya Mose, akitangaza, “ Bwana, Bwana, Mungu mwenye huruma na neema, asiye mwepesi wa hasira, mwingi wa upendo na uaminifu,
John 17:17Uwatakase kwa ile kweli, neno lako ndilo kweli.
This Verse In Other Editions
Study 2 Samweli 7:28