2 Samweli 7:29
Sasa naomba uwe radhi kuibariki nyumba ya mtumishi wako, ili idumu mbele zako milele, kwa maana wewe, Ee Bwana Mwenyezi, umesema, na kwa baraka zako nyumba ya mtumishi wako itaendelea kubarikiwa milele.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 6:24“ ‘ “ Bwana akubariki 2 na kukulinda; 1
1 Chronicles 17:27Basi imekupendeza kuibariki nyumba ya mtumishi wako, ili idumu milele machoni pako; kwa ajili yako, Ee Bwana, umeibariki, nayo itabarikiwa milele.”
Isaiah 55:3Tegeni sikio mje kwangu, 2 nisikieni mimi, ili nafsi zenu zipate kuishi. 1 Nitafanya agano la milele nanyi, 2 pendo la uaminifu nililomwahidi Daudi. 1