2 Samweli 8:16
Yoabu mwana wa Seruya alikuwa jemadari wa jeshi; Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mweka kumbukumbu;
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Joab the son of Zeruiah was over the host; and Jehoshaphat the son of Ahilud was recorder;
In Context
15Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote.
17Sadoki mwana wa Ahitubu na Ahimeleki mwana wa Abiathari walikuwa makuhani; Seraya alikuwa mwandishi;
Cross References
2 Samuel 19:13Nanyi mwambieni Amasa, ‘Je, wewe si nyama yangu mwenyewe na damu yangu? Mungu na anishughulikie, tena kwa ukali, kama kuanzia sasa na kuendelea wewe si jemadari wa jeshi langu mahali pa Yoabu.’ ”
1 Kings 4:3Elihorefu na Ahiya, wana wa Shisha: waandishi; 1 Yehoshafati mwana wa Ahiludi: karani; 1
1 Chronicles 11:6Daudi alikuwa amesema, “Yeyote aongozaye mashambulizi dhidi ya Wayebusi, atakuwa jemadari mkuu.” Yoabu mwana wa Seruya akawa wa kwanza kukwea, naye akawa mkuu.