The Bible Software
bible.software › 2 Samweli › 2 Samweli 8 › 2 Samweli 8:15

2 Samweli 8:15

Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And David reigned over all Israel; and David executed judgment and justice unto all his people.

In Context

14Akaweka kambi za askari walinzi katika Edomu yote, nao Waedomu wakawa chini ya Daudi. Bwana alimpatia Daudi ushindi kila alipokwenda. 1 Maafisa Wa Daudi

16Yoabu mwana wa Seruya alikuwa jemadari wa jeshi; Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mweka kumbukumbu;

Read all of 2 Samweli 8

Cross References

1 Samuel 14:47Baada ya Sauli kujitwalia utawala katika Israeli, alipigana dhidi ya adui zake kila upande: Moabu, Waamoni, Edomu, wafalme wa Soba, na Wafilisti. Popote alipogeukia, aliwashinda.

2 Samuel 5:5Huko Hebroni alitawala Yuda kwa miaka saba na miezi sita, na katika Yerusalemu alitawala Israeli yote na Yuda kwa miaka thelathini na mitatu. 1 Daudi Ateka Yerusalemu

2 Samuel 20:23Yoabu alikuwa jemadari wa jeshi lote la Israeli; Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa juu ya Wakerethi na Wapelethi;

1 Kings 4:1Basi Mfalme Solomoni akatawala Israeli yote.

1 Chronicles 18:14Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote.

Psalms 72:2Atawaamua watu wako kwa haki, 2 watu wako walioonewa kwa haki. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 2 Samweli 8:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Samweli 8:142 Samweli 82 Samweli 8:16 →