2 Wathesalonike 3:7
Ninyi wenyewe mnajua kwamba mnapaswa kufuata mfano wetu. Sisi tulipokuwa nanyi hatukuwa wavivu;
Biblia Takatifu
In The King James Version
For yourselves know how ye ought to follow us: for we behaved not ourselves disorderly among you;
In Context
Cross References
1 Corinthians 11:1Niigeni mimi kama ninavyomwiga Kristo.
1 Thessalonians 2:10Ninyi mnaweza kushuhudia, na Mungu pia ni shahidi, jinsi mwenendo wetu kati yenu ninyi mnaoamini ulivyokuwa mzuri, mwadilifu na usio na lawama.
2 Thessalonians 3:9Tulifanya hivyo si kwa kuwa hatuna haki ya kutaka msaada wenu, ila kwa sababu tunataka kuwapeni mfano.
Titus 2:7Katika mambo yote wewe mwenyewe unapaswa kuwa mfano wa matendo mema. Uwe mnyofu na uwe na uzito katika mafundisho yako.