2 Wathesalonike 3:9
Tulifanya hivyo si kwa kuwa hatuna haki ya kutaka msaada wenu, ila kwa sababu tunataka kuwapeni mfano.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Not because we have not power, but to make ourselves an ensample unto you to follow us.
In Context
10Tulipokuwa pamoja nanyi tulikuwa tukiwaambieni, “Mtu asiyefanya kazi, asile.”
Cross References
John 13:15Nimewapeni mfano, ili nanyi pia mfanye kama nilivyowafanyieni.
Galatians 6:6Mwenye kufundishwa neno la Mungu na amshirikishe mwalimu wake riziki zake.
2 Thessalonians 3:7Ninyi wenyewe mnajua kwamba mnapaswa kufuata mfano wetu. Sisi tulipokuwa nanyi hatukuwa wavivu;