The Bible Software
bible.software2 Timotheo2 Timotheo 1 › 2 Timotheo 1:5

2 Timotheo 1:5

Nimekuwa nikiikumbuka imani yako ya kweli, waliokuwa nayo bibi yako Loisi na mama yako Eunike na ambayo mimi ninasadiki sasa wewe pia unayo.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

When I call to remembrance the unfeigned faith that is in thee, which dwelt first in thy grandmother Lois, and thy mother Eunice; and I am persuaded that in thee also.

In Context

4Nikiyakumbuka machozi yako, ninatamani sana kukuona ili nipate kujawa na furaha.

6Kwa sababu hii nakukumbusha uchochee ile karama ya Mungu, iliyowekwa ndani yako nilipokuwekea mikono yangu.

Read all of 2 Timotheo 1

Cross References

Psalms 17:1Sikia, Ee Bwana, kusihi kwangu kwa haki, 2 sikiliza kilio changu. 1 Tega sikio kwa ombi langu, 2 halitoki kwenye midomo ya udanganyifu. 1

Psalms 22:10Nimekabidhiwa kwako tangu kuzaliwa, 2 toka tumboni mwa mama yangu 2 umekuwa Mungu wangu. 1

Psalms 77:6nilikumbuka nilivyoimba nyimbo usiku. 2 Moyo wangu ulitafakari 2 na roho yangu ikauliza: 1

Psalms 86:16Nigeukie na unihurumie; 2 mpe mtumishi wako nguvu zako, 2 mwokoe mwana wa mtumishi wako wa kike. + 86:16 Au: mwokoe mwanao mwaminifu. 1

Jeremiah 3:10Pamoja na hayo yote, Yuda dada yake mdanganyifu hakunirudia kwa moyo wake wote, bali kwa kujifanya tu,” asema Bwana.

Acts 16:1Paulo akafika Derbe na kisha Listra, ambako kulikuwa na mwanafunzi mmoja jina lake Timotheo, ambaye mama yake alikuwa Myahudi aliyeamini, lakini baba yake alikuwa Myunani.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 2 Timotheo 1:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Timotheo 1:42 Timotheo 12 Timotheo 1:6 →