The Bible Software
bible.software2 Timotheo2 Timotheo 1 › 2 Timotheo 1:4

2 Timotheo 1:4

Nikiyakumbuka machozi yako, ninatamani sana kukuona ili nipate kujawa na furaha.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Greatly desiring to see thee, being mindful of thy tears, that I may be filled with joy;

In Context

3Ninamshukuru Mungu, ninayemtumikia kwa dhamiri safi, kama walivyofanya baba zangu, ninapokukumbuka usiku na mchana katika maombi yangu.

5Nimekuwa nikiikumbuka imani yako ya kweli, waliokuwa nayo bibi yako Loisi na mama yako Eunike na ambayo mimi ninasadiki sasa wewe pia unayo.

Read all of 2 Timotheo 1

Cross References

Psalms 126:5Wapandao kwa machozi 2 watavuna kwa nyimbo za shangwe. 1

Jeremiah 31:13Kisha wanawali watacheza na kufurahi, 2 vijana waume na wazee pia. 1 Nitageuza maombolezo yao kuwa furaha, 2 nitawapa faraja na furaha badala ya huzuni. 1

John 16:24Mpaka sasa hamjaomba jambo lolote kwa Jina langu. Ombeni nanyi mtapewa, ili furaha yenu ipate kuwa kamili. 1 Amani Kwa Wanafunzi

Acts 20:31Hivyo jilindeni! Kumbukeni kwamba kwa miaka mitatu sikuacha kamwe kuwaonya kila mmoja kwa machozi usiku na mchana.

Romans 1:11Ninatamani sana kuwaona ili nipate kuweka juu yenu karama za rohoni ili mwe imara,

Philippians 1:8Mungu ni shahidi wangu jinsi ninavyowaonea shauku ninyi nyote kwa huruma ya Kristo Yesu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study 2 Timotheo 1:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 2 Timotheo 1:32 Timotheo 12 Timotheo 1:5 →