2 Timothy 2:19
Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, ukiwa na muhuri wenye maandishi haya: “Bwana anawajua walio wake”; tena, “Kila alitajaye jina la Bwana, na auache uovu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 16:5Kisha akamwambia Kora na wafuasi wake wote: “Asubuhi Bwana ataonyesha ni nani aliye wake na ni nani aliye mtakatifu, tena atamtaka mtu huyo aje kwake. Mtu yule ambaye atamchagua atamfanya kuja karibu naye.
Psalms 1:6Kwa maana Bwana huziangalia njia za mwenye haki, 2 bali njia ya waovu itaangamia.
Psalms 37:18Bwana anazifahamu siku za wanyofu, 2 na urithi wao utadumu milele. 1
Psalms 97:10Wale wanaompenda Bwana na wauchukie uovu, 2 kwa maana yeye hulinda maisha ya waaminifu wake 2 na kuwaokoa kutoka mkononi mwa mwovu. 1
Psalms 125:1Wale wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni, 2 ambao hauwezi kutikisika, bali wadumu milele. 1
Proverbs 10:25Tufani inapopita, waovu hutoweka, 2 lakini wenye haki husimama imara milele. 1