2 Timothy 2:20
Katika nyumba kubwa si kwamba kuna vyombo vya dhahabu na fedha tu, bali pia vimo vyombo vya miti na vya udongo; vingine kwa matumizi maalum, na vingine kwa matumizi ya kawaida.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ezra 1:6Majirani zao wote wakawasaidia vyombo vya fedha na dhahabu, pamoja na vifaa na mifugo, pia na zawadi za thamani, pamoja na sadaka zote za hiari.
Lamentations 4:2Wana wa Sayuni wenye thamani, 2 ambao mwanzo uzito wa thamani yao 2 ulikuwa wa dhahabu, 1 sasa wanaangaliwa kama vyungu vya udongo, 2 kazi ya mikono ya mfinyanzi! 1
Romans 9:21Je, mfinyanzi hana haki ya kufinyanga kutoka bonge moja vyombo vya udongo, vingine kwa matumizi ya heshima na vingine kwa matumizi ya kawaida?
1 Corinthians 3:16Je, hamjui ya kwamba ninyi wenyewe ni hekalu la Mungu na kwamba Roho wa Mungu anakaa ndani yenu?
Ephesians 2:22Katika yeye ninyi nanyi mnajengwa pamoja ili mpate kuwa makao ambayo Mungu anaishi ndani yake kwa njia ya Roho wake.
Hebrews 3:2Alikuwa mwaminifu kwa yeye aliyemweka, kama vile Mose alivyokuwa mwaminifu katika nyumba yote ya Mungu.