2 Timothy 4:13
Utakapokuja, niletee lile joho nililoliacha kwa Karpo huko Troa na vile vitabu vyangu, hasa vile vya ngozi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Nimemtuma Tikiko huko Efeso.
14Aleksanda yule mfua chuma alinitendea ubaya mkubwa. Bwana atamlipa kwa ajili ya yale aliyotenda.
Cross References
Acts 16:11Tukasafiri kwa njia ya bahari kutoka Troa na kwenda moja kwa moja hadi Samothrake, kesho yake tukafika Neapoli.
1 Corinthians 4:11Mpaka saa hii tuna njaa na kiu, tu uchi, tumepigwa na hatuna makao.