2 Timotheo 4:14
Aleksanda yule mfua chuma alinitendea ubaya mkubwa. Bwana atamlipa kwa ajili ya yale aliyotenda.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Alexander the coppersmith did me much evil: the Lord reward him according to his works:
In Context
15Wewe pia ujihadhari naye kwa sababu aliyapinga sana maneno yetu.
Cross References
1 Samuel 24:12Bwana na ahukumu kati yangu na wewe. Naye Bwana alipize mabaya unayonitendea, lakini mkono wangu hautakugusa.
Psalms 28:4Walipe sawasawa na matendo yao, 2 sawasawa na matendo yao maovu; 1 walipe sawasawa na kazi za mikono yao, 2 uwalipe wanavyostahili. 1
Psalms 109:5Wananilipiza mabaya kwa mema, 2 chuki badala ya urafiki wangu. 1
Jeremiah 15:15Wewe unafahamu, Ee Bwana, 2 unikumbuke na unitunze mimi. 2 Lipiza kisasi juu ya watesi wangu. 1 Kwa uvumilivu wako usiniondolee mbali; 2 kumbuka jinsi ninavyoshutumiwa. 1
Lamentations 3:64Uwalipe kile wanachostahili, Ee Bwana, 2 kwa yale ambayo mikono yao imetenda. 1
Romans 12:19Wapendwa, msilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu, maana imeandikwa: “Ni juu yangu kulipiza kisasi, nitalipiza,” asema Bwana.