3 Yohana 1:14
Badala yake, nataraji kukuona upesi, nasi tutaongea pamoja ana kwa ana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Ninayo mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kuandika kwa kalamu na wino.
Cross References
Daniel 4:1Mfalme Nebukadneza, Kwa kabila za watu, mataifa na watu wa kila lugha, wanaoishi katika ulimwengu wote: Mafanikio yawe kwenu sana!
Galatians 5:16Kwa hiyo nasema, enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.
1 Peter 5:14Salimianeni kwa busu la upendo. Amani iwe nanyi nyote mlio katika Kristo.