3 John 1:13
Ninayo mambo mengi ya kukuandikia, lakini sipendi kuandika kwa kalamu na wino.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I had many things to write, but I will not with ink and pen write unto thee:
In Context
14Badala yake, nataraji kukuona upesi, nasi tutaongea pamoja ana kwa ana.
Cross References
2 John 1:12Ninayo mengi ya kuwaandikia, lakini sitaki kutumia karatasi na wino. Badala yake, nataraji kuja kwenu na kuongea nanyi ana kwa ana, ili furaha yetu ipate kuwa timilifu.