Acts 1:20
“Kama vile ilivyoandikwa katika kitabu cha Zaburi, 1 “ ‘Mahali pake na pawe ukiwa, 2 wala asiwepo yeyote atakayeishi humo,’ na, 1 “ ‘Mtu mwingine aichukue nafasi yake ya uongozi.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 14:42Kisha watachukua mawe mengine na kujenga palipobomolewa kwa udongo mpya wa mfinyanzi, na kuipiga nyumba hiyo lipu mpya.
Psalms 109:8Siku zake za kuishi na ziwe chache, 2 nafasi yake ya uongozi ichukuliwe na mtu mwingine. 1
Luke 20:42Daudi mwenyewe anasema katika Kitabu cha Zaburi: 1 “ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1
Acts 1:25ili achukue nafasi ya huduma ya utume ambayo Yuda aliiacha ili aende mahali pake mwenyewe.”