Luka 20:42
Daudi mwenyewe anasema katika Kitabu cha Zaburi: 1 “ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
43hadi nitakapowaweka adui zako 2 chini ya miguu yako.” ’
Cross References
2 Samuel 23:1Haya ni maneno ya mwisho ya Daudi: 1 “Neno la Daudi mwana wa Yese, 2 neno la mtu aliyeinuliwa na Aliye Juu Sana, 1 mtu aliyepakwa mafuta na Mungu wa Yakobo, 2 mwimbaji wa nyimbo wa Israeli: 1
Matthew 22:43Akawaambia, “Inakuwaje basi kwamba Daudi, akinena kwa kuongozwa na Roho, anamwita Kristo ‘Bwana’? Kwa maana asema, 1
Luke 24:44Akawaambia, “Haya ndiyo yale niliyowaambia nilipokuwa bado niko pamoja nanyi, kwamba yote yaliyoandikwa kunihusu mimi katika Sheria ya Mose, Manabii na Zaburi hayana budi kutimizwa.”
Acts 2:34Kwa kuwa Daudi hakupaa kwenda mbinguni, lakini anasema, 1 “ ‘ Bwana alimwambia Bwana wangu: 2 “Keti mkono wangu wa kuume, 1
1 Corinthians 15:25Kwa maana lazima Kristo atawale mpaka awe amewaweka adui zake wote chini ya miguu yake.
Hebrews 3:7Kwa hiyo, kama Roho Mtakatifu asemavyo: 1 “Leo, kama mkiisikia sauti yake, 2