Acts 10:12
Ndani yake walikuwepo aina zote za wanyama wenye miguu minne, nao watambaao nchini, na ndege wa angani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
11Akaona mbingu zimefunguka na kitu kama nguo kubwa kikishushwa duniani kwa ncha zake nne.
13Ndipo sauti ikamwambia “Petro, ondoka, uchinje na ule.”
Cross References
Isaiah 11:6Mbwa mwitu ataishi pamoja na mwana-kondoo, 2 naye chui atalala pamoja na mbuzi, 1 ndama, mwana simba na ngʼombe wa mwaka mmoja watakaa pamoja, 2 naye mtoto mdogo atawaongoza. 1
John 7:37Siku ile ya mwisho ya Sikukuu, siku ile kuu, wakati Yesu akiwa amesimama huko, akapaza sauti yake akasema, “Kama mtu yeyote anaona kiu na aje kwangu anywe.