Acts 10:16
Jambo hili lilitokea mara tatu na ghafula ile nguo ikarudishwa mbinguni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
This was done thrice: and the vessel was received up again into heaven.
In Context
15Ile sauti ikasema naye mara ya pili, “Usikiite najisi kitu chochote Mungu alichokitakasa.”
Cross References
John 21:17Kwa mara ya tatu Yesu akamuuliza Petro, “Simoni mwana wa Yohana, unanipenda?” Petro akahuzunika sana kwa kuwa Yesu alimuuliza mara ya tatu, “Unanipenda?” Akamjibu, “Bwana, wewe unajua yote, unajua ya kuwa ninakupenda.” Yesu akamwambia, “Lisha kondoo wangu.