Acts 10:20
Inuka na ushuke, usisite kwenda nao kwa kuwa mimi nimewatuma.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Arise therefore, and get thee down, and go with them, doubting nothing: for I have sent them.
In Context
Cross References
Isaiah 48:16“Nikaribieni na msikilize hili: 1 “Tangu tangazo la kwanza sikusema kwa siri; 2 wakati litokeapo, nitakuwako hapo.” 1 Sasa Bwana Mwenyezi amenituma, 2 kwa Roho wake. 1
Mark 16:15Akawaambia, “Enendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
Acts 9:15Lakini Bwana akamwambia Anania, “Nenda! Mtu huyu ni chombo changu kiteule nilichokichagua, apate kulichukua Jina langu kwa watu wa Mataifa na wafalme wao na mbele ya watu wa Israeli.
Acts 13:4Hivyo, wakiwa wametumwa na Roho Mtakatifu, wakashuka kwenda Seleukia na kutoka huko wakasafiri baharini mpaka kisiwa cha Kipro.