Acts 9:15
Lakini Bwana akamwambia Anania, “Nenda! Mtu huyu ni chombo changu kiteule nilichokichagua, apate kulichukua Jina langu kwa watu wa Mataifa na wafalme wao na mbele ya watu wa Israeli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Nami nitamwonyesha jinsi impasavyo kuteseka kwa ajili ya Jina langu.”
Cross References
Exodus 4:12Sasa nenda, nitakusaidia kusema, nami nitakufundisha jambo la kusema.”
Jeremiah 1:7Lakini Bwana akaniambia, “Usiseme, ‘Mimi ni mtoto mdogo tu.’ Utaenda popote nitakapokutuma na kunena lolote nitakalokuagiza.
Matthew 10:18Nanyi mtaburutwa mbele ya watawala na wafalme kwa ajili yangu, ili kuwa ushuhuda kwao na kwa watu wa Mataifa.
Acts 13:2Walipokuwa wakimwabudu Bwana na kufunga, Roho Mtakatifu akasema, “Nitengeeni Sauli na Barnaba kwa kazi ile maalum niliyowaitia.”
Acts 22:21“Ndipo Bwana akaniambia, ‘Nenda, kwa maana nitakutuma mbali, kwa watu wa Mataifa.’ ” 1 Paulo Na Jemadari Wa Kirumi
Acts 26:17Nitakuokoa kutoka kwa watu wako na watu wa Mataifa ambao ninakutuma kwao,