Acts 10:27
Petro alipokuwa akizungumza naye akaingia ndani na kukuta watu wengi wamekusanyika.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And as he talked with him, he went in, and found many that were come together.
In Context
26Lakini Petro akamwinua akamwambia, “Simama, mimi ni mwanadamu tu.”
Cross References
John 4:35Je, ninyi hamsemi, ‘Bado miezi minne tuvune?’ Inueni macho yenu myaangalie mashamba jinsi mazao yalivyo tayari kuvunwa!
Acts 14:27Walipowasili Antiokia wakaliita kanisa pamoja na kutoa taarifa ya yale yote Mungu aliyokuwa ametenda kupitia kwao na jinsi alivyokuwa amefungua mlango wa imani kwa ajili ya watu wa Mataifa.
2 Corinthians 2:12Basi nilipofika Troa kuhubiri Injili ya Kristo na kukuta kwamba Bwana alikuwa amenifungulia mlango,