Acts 10:33
Nilituma watu kwako mara moja, nawe umefanya vyema kuja. Basi sasa sisi sote tuko hapa mbele za Mungu kuyasikiliza yote ambayo Bwana amekuamuru kutuambia.” 1 Hotuba Ya Petro
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
34Ndipo Petro akafungua kinywa chake akasema, “Mungu hana upendeleo,
Cross References
Deuteronomy 30:13Wala hakiko ngʼambo ya bahari, ili uulize, “Ni nani atakayevuka bahari kwenda kukichukua na kututangazia ili tupate kutii?”
Proverbs 1:5wenye hekima na wasikilize nao waongeze elimu yao, 2 wenye kupambanua na wapate mwongozo; 1
Proverbs 18:15Moyo wa mwenye ufahamu hujipatia maarifa, 2 masikio ya mwenye hekima huyatafuta maarifa. 1
Matthew 18:4Kwa hiyo mtu yeyote anyenyekeaye kama huyu mtoto, ndiye aliye mkuu kuliko wote katika Ufalme wa Mbinguni.
Mark 10:15Amin, nawaambia, mtu yeyote asiyeupokea Ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo, hatauingia kamwe.”
Acts 28:28“Basi na ijulikane kwenu kwamba, huu wokovu wa Mungu umepelekwa kwa watu wa Mataifa, nao watasikiliza.” [