bible.software › Mark › Mark 10 › Mark 10:15
Mark 10:15
Amin, nawaambia, mtu yeyote asiyeupokea Ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo, hatauingia kamwe.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Verily I say unto you, Whosoever shall not receive the kingdom of God as a little child, he shall not enter therein.
In Context
14Yesu alipoona yaliyokuwa yakitukia, akachukizwa. Akawaambia wanafunzi wake, “Waacheni watoto wadogo waje kwangu, wala msiwazuie, kwa maana Ufalme wa Mungu ni wa wale walio kama hawa.
16Akawachukua watoto mikononi mwake, akawakumbatia, akaweka mikono yake juu yao, akawabariki. 1 Kijana Tajiri (Mathayo 19:16-30; Luka 18:18-30)
Read all of Mark 10
Cross References
Luke 18:17Amin, nawaambia, mtu yeyote asiyeupokea Ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo, hatauingia kamwe.” 1 Mtawala Tajiri (Mathayo 19:16-30; Marko 10:17-31)
This Verse In Other Editions
Study Mark 10:15