Acts 12:11
Ndipo Petro akarudiwa na fahamu, akasema, “Sasa ninajua bila shaka yoyote kuwa Bwana amemtuma malaika wake na kuniokoa kutoka makucha ya Herode Agripa na kutoka matazamio yote ya Wayahudi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 15:13Kisha Bwana akamwambia, “Ujue hakika kwamba wazao wako watakuwa wageni kwenye nchi ambayo si yao, nao watafanywa watumwa na kuteswa kwa miaka mia nne.
Genesis 26:9Abimeleki akamwita Isaki akamwambia, “Hakika huyu ni mke wako! Mbona uliniambia, ‘Huyu ni dada yangu?’ ” Isaki akamjibu, “Kwa sababu nilifikiri ningeweza kuuawa kwa sababu yake.”
2 Chronicles 16:9Kwa kuwa macho ya Bwana hukimbiakimbia duniani kote ili kujionyesha mwenye nguvu kwa ajili ya wale ambao mioyo yao inamtegemea kwa ukamilifu. Umefanya jambo la upumbavu na kuanzia sasa na kuendelea utakuwa na vita.”
Job 31:31kama watu wa nyumbani mwangu kamwe hawakusema, 2 ‘Ni nani ambaye hajashibishwa na nyama ya Ayubu?’ 1
Psalms 34:7Malaika wa Bwana hufanya kituo 2 akiwazunguka wale wamchao, 2 naye huwaokoa. 1
Psalms 41:2Bwana atamlinda na kuyahifadhi maisha yake, 2 atambariki katika nchi 2 na hatamwacha katika tamaa ya adui zake. 1