Acts 12:10
Wakapita lindo la kwanza na la pili, ndipo wakafika kwenye lango la chuma linaloelekea mjini. Lango likawafungukia lenyewe, nao wakapita hapo wakatoka nje. Baada ya kutembea umbali wa mtaa mmoja, ghafula yule malaika akamwacha Petro.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 42:17Akawaweka wote chini ya ulinzi kwa siku tatu.
Isaiah 21:8Naye mlinzi alipaza sauti, 1 “Mchana baada ya mchana, bwana wangu, ninasimama katika mnara wa ulinzi, 2 kila usiku ninakaa mahali pangu nilipoamriwa. 1
John 20:19Ikawa jioni ya ile siku ya kwanza ya juma, wanafunzi wake walikuwa pamoja, milango ikiwa imefungwa kwa kuwaogopa Wayahudi. Naye Yesu aliwatokea, akasimama katikati yao, akasema, “Amani iwe nanyi!”
Acts 5:19Lakini wakati wa usiku, malaika wa Bwana akaja, akafungua milango ya gereza na akawatoa nje. Akawaambia,
Acts 16:26Ghafula pakatokea tetemeko kubwa la ardhi, hata msingi wa gereza ukatikisika. Mara milango ya gereza ikafunguka na ile minyororo iliyowafunga kila mmoja ikafunguka.