bible.software › Matendo › Matendo 12 › Matendo 12:16
Matendo 12:16
Lakini Petro aliendelea kugonga langoni, nao walipofungua lango na kumwona Petro, walistaajabu sana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But Peter continued knocking: and when they had opened the door, and saw him, they were astonished.
In Context
15Wakamwambia yule mtumishi wa kike, “Umerukwa na akili.” Alipozidi kusisitiza kuwa ni kweli, wakasema, “Lazima awe ni malaika wake.”
17Yeye akawaashiria kwa mkono wake wanyamaze kimya, akawaeleza jinsi Bwana alivyomtoa gerezani. Naye akaongeza kusema, “Waelezeni Yakobo na ndugu wengine habari hizi.” Kisha akaondoka akaenda sehemu nyingine.
Read all of Matendo 12
This Verse In Other Editions
Study Matendo 12:16