Acts 12:17
Yeye akawaashiria kwa mkono wake wanyamaze kimya, akawaeleza jinsi Bwana alivyomtoa gerezani. Naye akaongeza kusema, “Waelezeni Yakobo na ndugu wengine habari hizi.” Kisha akaondoka akaenda sehemu nyingine.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Lakini Petro aliendelea kugonga langoni, nao walipofungua lango na kumwona Petro, walistaajabu sana.
18Kulipokucha kukawa na fadhaa kubwa miongoni mwa wale askari kuhusu yaliyomtukia Petro.
Cross References
Psalms 66:16Njooni msikilize ninyi nyote mnaomcha Mungu, 2 nami niwaambie aliyonitendea. 1
Psalms 107:21Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma, 2 na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu. 1
Psalms 146:7Naye huwapatia haki walioonewa 2 na kuwapa wenye njaa chakula. 1 Bwana huwaweka wafungwa huru, 2
Luke 1:22Alipotoka akawa hawezi kusema nao, wao wakatambua kuwa ameona maono ndani ya Hekalu. Lakini kwa kuwa alikuwa bubu, akawa anawaashiria kwa mikono.
John 8:59Ndipo wakaokota mawe ili kumpiga, lakini Yesu akajificha, naye akatoka Hekaluni.
John 11:54Kwa hiyo Yesu akawa hatembei hadharani miongoni mwa Wayahudi, bali alijitenga akaenda sehemu iliyo karibu na jangwa kwenye kijiji kiitwacho Efraimu. Akakaa huko na wanafunzi wake.