Acts 13:46
Ndipo Paulo na Barnaba wakawajibu kwa ujasiri, wakisema, “Ilitupasa kunena nanyi neno la Mungu kwanza. Lakini kwa kuwa mmelikataa, mkajihukumu wenyewe kuwa hamstahili uzima wa milele, sasa tunawageukia watu wa Mataifa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 32:9Bwana akamwambia Mose, “Nimeona watu hawa, nao ni watu wenye shingo ngumu.
Proverbs 28:1Mtu mwovu hukimbia ingawa hakuna yeyote anayemfukuza, 2 bali wenye haki ni wajasiri kama simba. 1
Isaiah 55:5Hakika utaita mataifa usiyoyajua, 2 nayo mataifa yale yasiyokujua yataharakisha kukujia, 1 kwa sababu ya Bwana Mungu wako, 2 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, 2 kwa maana amekutukuza.” 1
Matthew 10:13Kama nyumba hiyo inastahili, amani yenu na iwe juu yake. La sivyo, amani yenu na iwarudie ninyi.
Matthew 22:6Wengine wao wakawakamata wale watumishi wake, wakawatesa na kuwaua.
Luke 24:47Toba na msamaha wa dhambi zitatangaziwa mataifa yote kupitia jina lake kuanzia Yerusalemu.