bible.software › Matthew › Matthew 10 › Matthew 10:13
Matthew 10:13
Kama nyumba hiyo inastahili, amani yenu na iwe juu yake. La sivyo, amani yenu na iwarudie ninyi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And if the house be worthy, let your peace come upon it: but if it be not worthy, let your peace return to you.
In Context
12Mkiingia kwenye nyumba, itakieni amani.
14Kama mtu yeyote hatawakaribisha ninyi, wala kusikiliza maneno yenu, kungʼuteni mavumbi kutoka kwenye miguu yenu mtakapokuwa mnatoka kwenye nyumba hiyo au mji huo.
Read all of Matthew 10
Cross References
Luke 10:6Kama kuna mtu wa amani humo, basi amani yenu itakuwa juu yake. La sivyo, itawarudia.
This Verse In Other Editions
Study Matthew 10:13