Acts 13:7
Mtu huyu alikuwa pamoja na Sergio Paulo, mtu mwenye hekima aliyekuwa msaidizi wa mwakilishi wa mtawala wa kile kisiwa. Sergio Paulo akawaita Sauli na Barnaba akitaka kusikia neno la Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 14:8Hekima ya mwenye busara ni kufikiria njia zake, 2 bali upumbavu wa wapumbavu ni udanganyifu. 1
Proverbs 14:18Mjinga hurithi upumbavu, 2 bali wenye busara huvikwa maarifa kichwani kama taji. 1
Hosea 14:9Ni nani mwenye hekima? Atayatambua mambo haya. 2 Ni nani mwenye ufahamu? Huyu atayaelewa. 1 Njia za Bwana ni adili; 2 wenye haki huenda katika njia hizo, 2 lakini waasi watajikwaa ndani yake.
Acts 13:12Yule mkuu wa kile kisiwa alipoona yaliyotukia, akaamini kwa sababu alistaajabishwa na mafundisho kuhusu Bwana. 1 Paulo Na Barnaba Huko Antiokia Ya Pisidia
Acts 18:12Lakini wakati Galio alipokuwa msaidizi wa mwakilishi wa mtawala huko Akaya, Wayahudi waliungana kumshambulia Paulo, wakamkamata na kumpeleka mahakamani.
1 Thessalonians 5:21Jaribuni kila kitu. Yashikeni yaliyo mema.