Acts 13:12
Yule mkuu wa kile kisiwa alipoona yaliyotukia, akaamini kwa sababu alistaajabishwa na mafundisho kuhusu Bwana. 1 Paulo Na Barnaba Huko Antiokia Ya Pisidia
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then the deputy, when he saw what was done, believed, being astonished at the doctrine of the Lord.
In Context
Cross References
Matthew 27:54Basi yule jemadari na wale waliokuwa pamoja naye wakimlinda Yesu walipoona lile tetemeko na yale yote yaliyokuwa yametukia, waliogopa, wakasema, “Hakika huyu alikuwa Mwana wa Mungu!”
Luke 7:16Watu wote wakajawa na hofu ya Mungu, nao wakamtukuza Mungu wakisema, “Nabii mkuu ametokea miongoni mwetu, Mungu amekuja kuwakomboa watu wake.”
Acts 6:10Lakini hawakuweza kushindana na hekima yake wala huyo Roho ambaye alisema kwake.
Acts 13:49Neno la Bwana likaenea katika eneo lile lote.
Acts 19:7Walikuwa kama wanaume kumi na wawili.
2 Corinthians 10:4Silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome,