Acts 14:10
Paulo akapaza sauti, “Simama kwa miguu yako!” Mara yule mtu akasimama upesi akaanza kutembea!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Said with a loud voice, Stand upright on thy feet. And he leaped and walked.
In Context
9Alimsikiliza Paulo alipokuwa akihubiri. Paulo alipomtazama akaona ana imani ya kuponywa.
Cross References
Isaiah 35:6Ndipo kilema atarukaruka kama kulungu, 2 nao ulimi wa aliye bubu utapaza sauti kwa shangwe. 1 Maji yatatiririka kwa kasi katika nyika, 2 na vijito katika jangwa. 1
Luke 13:11Wakati huo huo akaja mwanamke mmoja aliyekuwa na pepo mchafu, naye alikuwa amepinda mgongo kwa muda wa miaka kumi na minane, wala alikuwa hawezi kunyooka wima.
John 14:12Amin, amin nawaambia, yeyote aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo yeye atazifanya, naam na kubwa kuliko hizi atazifanya, kwa sababu mimi ninakwenda kwa Baba.
Acts 9:33Huko alimkuta mtu mmoja aitwaye Ainea, ambaye alikuwa amepooza na kwa muda wa miaka minane alikuwa hajaondoka kitandani.