Luke 13:11
Wakati huo huo akaja mwanamke mmoja aliyekuwa na pepo mchafu, naye alikuwa amepinda mgongo kwa muda wa miaka kumi na minane, wala alikuwa hawezi kunyooka wima.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Basi Yesu alikuwa akifundisha katika sinagogi mojawapo siku ya Sabato.
12Yesu alipomwona, akamwita, akamwambia, “Mwanamke, uwe huru, umepona ugonjwa wako.”
Cross References
Psalms 6:2Unirehemu Bwana, 2 kwa maana nimedhoofika; 1 Ee Bwana, uniponye, 2 kwa maana mifupa yangu 2 ina maumivu makali. 1
Psalms 42:5Ee nafsi yangu, kwa nini unasononeka? 2 Kwa nini unafadhaika hivyo ndani yangu? 1 Weka tumaini lako kwa Mungu, 2 kwa sababu bado nitamsifu, 2 Mwokozi wangu na
Psalms 146:8Bwana huwafumbua vipofu macho, 1 Bwana huwainua waliolemewa na mizigo yao, 2 Bwana huwapenda wenye haki. 1
Mark 9:21Yesu akamuuliza baba yake, “Mwanao amekuwa katika hali hii tangu lini?” Akamjibu, “Tangu utoto wake.
Luke 8:27Yesu aliposhuka kutoka mashua na kukanyaga ufuoni, alikutana na mtu mmoja wa mji ule aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu, naye kwa muda mrefu alikuwa havai nguo wala kuishi nyumbani, bali aliishi makaburini.
Luke 13:16Je, huyu mwanamke, ambaye ni binti wa Abrahamu, aliyeteswa na Shetani akiwa amemfunga kwa miaka yote hii kumi na minane, hakustahili kufunguliwa kutoka kifungo hicho siku ya Sabato?”