The Bible Software
bible.softwareMatendoMatendo 15 › Matendo 15:17

Matendo 15:17

ili wanadamu wengine wote 2 wapate kumtafuta Bwana, 1 hata wale watu wa Mataifa wote 2 ambao wanaitwa kwa Jina langu, 1 asema Bwana, afanyaye mambo haya’ 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

That the residue of men might seek after the Lord, and all the Gentiles, upon whom my name is called, saith the Lord, who doeth all these things.

In Context

16“ ‘Baada ya mambo haya nitarudi, 2 nami nitajenga upya 2 nyumba ya Daudi iliyoanguka. 1 Nitajenga tena magofu yake 2 na kuisimamisha, 1

18ambayo yamejulikana tangu zamani.

Read all of Matendo 15

Cross References

Genesis 48:16Malaika ambaye aliniokoa kutoka madhara yote, 2 yeye na awabariki vijana hawa. 1 Na waitwe kwa jina langu 2 na kwa majina ya baba zangu Abrahamu na Isaki, 1 wao na waongezeke kwa wingi 2 katika dunia.”

Numbers 6:27“Hivyo wataliweka Jina langu juu ya Waisraeli, nami nitawabariki.”

Psalms 22:26Maskini watakula na kushiba, 2 wale wamtafutao Bwana watamsifu: 2 mioyo yenu na iishi milele! 1

Psalms 72:17Jina lake na lidumu milele, 2 na lidumu kama jua. 1 Mataifa yote yatabarikiwa kupitia kwake, 2 nao watamwita aliyebarikiwa. 1

Isaiah 11:10Katika siku hiyo, Shina la Yese atasimama kama bendera kwa ajili ya mataifa. Mataifa yatakusanyika kwake, na mahali pake pa kupumzikia patakuwa utukufu.

Isaiah 24:15Kwa hiyo upande wa mashariki mpeni Bwana utukufu, 2 liadhimisheni jina la Bwana, Mungu wa Israeli, 2 katika visiwa vya bahari. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matendo 15:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matendo 15:16Matendo 15Matendo 15:18 →