The Bible Software
bible.softwareActsActs 15 › Acts 15:16

Acts 15:16

“ ‘Baada ya mambo haya nitarudi, 2 nami nitajenga upya 2 nyumba ya Daudi iliyoanguka. 1 Nitajenga tena magofu yake 2 na kuisimamisha, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

After this I will return, and will build again the tabernacle of David, which is fallen down; and I will build again the ruins thereof, and I will set it up:

In Context

15Maneno ya manabii yanakubaliana na jambo hili, kama ilivyoandikwa: 1

17ili wanadamu wengine wote 2 wapate kumtafuta Bwana, 1 hata wale watu wa Mataifa wote 2 ambao wanaitwa kwa Jina langu, 1 asema Bwana, afanyaye mambo haya’ 2

Read all of Acts 15

Cross References

1 Kings 12:16Israeli wote walipoona kuwa mfalme amekataa kuwasikiliza, wakamjibu mfalme: 1 “Tuna fungu gani kwa Daudi? 2 Sisi hatuna urithi kwa mwana wa Yese. 1 Nendeni kwenye mahema yenu, ee Israeli! 2 Angalia nyumba yako mwenyewe, ee Daudi!” Hivyo Waisraeli wakaenda kwenye mahema yao.

Isaiah 9:6Kwa maana, kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, 2 tumepewa mtoto mwanaume, 2 nao utawala utakuwa mabegani mwake. 1 Naye ataitwa 2 Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, 2 Baba wa Milele, Mfalme wa Amani. 1

Jeremiah 33:24“Je, hujasikia kwamba watu hawa wanasema, ‘ Bwana amezikataa zile falme mbili alizozichagua?’ Kwa hiyo wamewadharau watu wangu, na hawawaoni tena kama taifa.

Amos 9:11“Katika siku ile nitaisimamisha 2 hema ya Daudi iliyoanguka. 1 Nitakarabati mahali palipobomoka 2 na kujenga upya magofu yake, 2 na kuijenga kama ilivyokuwa awali, 1

Matthew 1:20Lakini mara alipoazimu kufanya jambo hili, malaika wa Bwana akamtokea katika ndoto na kusema, “Yosefu mwana wa Daudi, usiogope kumchukua Maria awe mke wako, kwa maana mimba aliyo nayo ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.

Luke 1:69Naye ametusimamishia pembe + 1:69 Pembe hapa inamaanisha nguvu. ya wokovu 2 katika nyumba ya Daudi mtumishi wake, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 15:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 15:15Acts 15Acts 15:17 →