Acts 16:2
Alikuwa amesifiwa sana na wale ndugu waliokuwa wameamini huko Listra na Ikonio
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Which was well reported of by the brethren that were at Lystra and Iconium.
In Context
Cross References
Acts 13:51Hivyo Paulo na Barnaba wakakungʼuta mavumbi ya miguu yao ili kuwapinga, nao wakaenda Ikonio.
Acts 16:40Baada ya Paulo na Sila kutoka gerezani walikwenda nyumbani kwa Lidia, ambapo walikutana na wale ndugu walioamini, wakawatia moyo, ndipo wakaondoka.
1 Timothy 5:10awe ameshuhudiwa kwa matendo yake mema, aliyewalea watoto wake vizuri, aliye mkarimu, aliyewanawisha watakatifu miguu, aliyewasaidia wenye shida na aliyejitolea kwa ajili ya matendo mema ya kila namna.
2 Timothy 3:11mateso na taabu, yaani mambo yote yaliyonipata huko Antiokia, Ikonio na Listra, mateso yote niliyostahimili, lakini Bwana aliniokoa katika hayo yote.
Hebrews 11:2Maana baba zetu wa kale walipongezwa kwa haya.