Acts 16:3
Paulo alitaka Timotheo afuatane naye, hivyo akamchukua na kumtahiri kwa sababu ya Wayahudi waliokuwa wanaishi eneo lile kwa maana wote walimjua baba yake ni Myunani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2Alikuwa amesifiwa sana na wale ndugu waliokuwa wameamini huko Listra na Ikonio
Cross References
Acts 15:37Barnaba alitaka wamchukue Yohana aitwaye Marko waende naye.
1 Corinthians 7:19Kutahiriwa si kitu, na kutokutahiriwa si kitu. Lakini kuzitii amri za Mungu ndilo jambo muhimu.
Galatians 2:3Lakini hata Tito ambaye alikuwa Myunani, hakulazimika kutahiriwa.
Galatians 5:1Kristo alitupa uhuru, akataka tubaki huru. Hivyo simameni imara wala msikubali tena kulemewa na kongwa la utumwa.