The Bible Software
bible.softwareActsActs 16 › Acts 16:25

Acts 16:25

Ilipokaribia usiku wa manane, Paulo na Sila walikuwa wakiomba na kuimba nyimbo za kumsifu Mungu, nao wafungwa wengine walikuwa wakiwasikiliza.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And at midnight Paul and Silas prayed, and sang praises unto God: and the prisoners heard them.

In Context

24Kufuata maelekezo haya, yule mkuu wa gereza akawaweka katika chumba cha ndani sana mle gerezani, na akawafunga miguu yao kwa minyororo.

26Ghafula pakatokea tetemeko kubwa la ardhi, hata msingi wa gereza ukatikisika. Mara milango ya gereza ikafunguka na ile minyororo iliyowafunga kila mmoja ikafunguka.

Read all of Acts 16

Cross References

Job 35:10Lakini hakuna asemaye, ‘Yuko wapi Mungu Muumba wangu, 2 yeye anifanyaye niimbe usiku, 1

Psalms 34:1Nitamtukuza Bwana nyakati zote, 2 sifa zake zitakuwa midomoni mwangu siku zote. 1

Psalms 50:15na uniite siku ya taabu; 2 nami nitakuokoa, nawe utanitukuza.”

Psalms 77:2Nilipokuwa katika taabu, nilimtafuta Bwana, 2 usiku nilinyoosha mikono bila kuchoka 2 na nafsi yangu ilikataa kufarijika. 1

Psalms 91:15Ataniita, nami nitamjibu; 2 nitakuwa pamoja naye katika taabu, 2 nitamwokoa na kumheshimu. 1

Psalms 119:62Usiku wa manane ninaamka kukushukuru 2 kwa sababu ya sheria zako za haki. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 16:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 16:24Acts 16Acts 16:26 →