The Bible Software
bible.softwareActsActs 16 › Acts 16:26

Acts 16:26

Ghafula pakatokea tetemeko kubwa la ardhi, hata msingi wa gereza ukatikisika. Mara milango ya gereza ikafunguka na ile minyororo iliyowafunga kila mmoja ikafunguka.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And suddenly there was a great earthquake, so that the foundations of the prison were shaken: and immediately all the doors were opened, and every one’s bands were loosed.

In Context

25Ilipokaribia usiku wa manane, Paulo na Sila walikuwa wakiomba na kuimba nyimbo za kumsifu Mungu, nao wafungwa wengine walikuwa wakiwasikiliza.

27Yule mkuu wa gereza alipoamka na kuona milango ya gereza iko wazi, akachomoa upanga wake akataka kujiua, akidhani ya kuwa wafungwa wote wametoroka.

Read all of Acts 16

Cross References

1 Kings 13:28Kisha akatoka akaenda akakuta maiti imebwagwa chini barabarani, punda na simba wakiwa wamesimama kando yake. Simba hakuwa amekula ile maiti wala kumrarua punda.

Psalms 102:20kusikiliza vilio vya uchungu vya wafungwa 2 na kuwaweka huru wale waliohukumiwa kufa.” 1

Isaiah 42:7kuwafungua macho wale wasioona, 2 kuwaacha huru kutoka kifungoni waliofungwa jela, 1 na kuwafungua kutoka gerezani 2 wale wanaokaa gizani. 1

Zechariah 9:11Kwako wewe, kwa sababu ya damu ya Agano langu nawe, 2 nitawaacha huru wafungwa wako 2 watoke kwenye shimo lisilo na maji. 1

Acts 4:31Walipokwisha kuomba, mahali walipokuwa wamekutanika pakatikiswa, wote wakajazwa na Roho Mtakatifu, wakanena neno la Mungu kwa ujasiri. 1 Walioamini Washirikiana Mali Zao

Acts 12:7Ghafula malaika wa Bwana akatokea na nuru ikamulika mle ndani ya gereza. Yule malaika akampiga Petro ubavuni na kumwamsha, akisema, “Ondoka upesi!” Mara ile minyororo ikaanguka kutoka mikononi mwa Petro.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 16:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 16:25Acts 16Acts 16:27 →