The Bible Software
bible.softwareActsActs 16 › Acts 16:30

Acts 16:30

Kisha akawaleta nje akisema, “Bwana zangu, nifanye nini nipate kuokoka?”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And brought them out, and said, Sirs, what must I do to be saved?

In Context

29Yule askari wa gereza akaagiza taa ziletwe, akaingia ndani ya kile chumba cha gereza, akapiga magoti akitetemeka mbele ya Paulo na Sila.

31Wakamjibu, “Mwamini Bwana Yesu Kristo, nawe utaokoka, pamoja na watu wa nyumbani mwako.”

Read all of Acts 16

Cross References

Job 34:32Nifundishe nisichoweza kuona; 2 kama nimekukosea, sitafanya hivyo tena.’ 1

Isaiah 58:6“Je, hii si ndiyo aina ya mfungo niliyoichagua: 2 kufungua minyororo ya udhalimu, 2 na kufungua kamba za nira, 1 kuwaweka huru walioonewa, 2 na kuvunja kila nira? 1

Matthew 3:8Basi zaeni matunda yastahiliyo toba.

Luke 3:10Ule umati wa watu ukamuuliza, “Inatupasa tufanyeje basi?”

Acts 2:37Watu waliposikia maneno haya yakawachoma mioyo yao, wakawauliza Petro na wale mitume wengine, “Ndugu zetu tufanye nini?”

Acts 14:15“Enyi watu, kwa nini mnafanya mambo haya? Sisi ni wanadamu tu kama ninyi! Tunawaletea habari njema, tukiwaambia kwamba mgeuke mtoke katika mambo haya yasiyofaa, mmwelekee Mungu aliye hai, aliyeziumba mbingu na nchi na bahari na vitu vyote vilivyomo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 16:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 16:29Acts 16Acts 16:31 →