The Bible Software
bible.softwareActsActs 17 › Acts 17:26

Acts 17:26

Kutoka kwa mtu mmoja, yeye aliumba mataifa yote ya wanadamu ili waikalie dunia yote, naye akaweka nyakati za kuishi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And hath made of one blood all nations of men for to dwell on all the face of the earth, and hath determined the times before appointed, and the bounds of their habitation;

In Context

25Wala hatumikiwi na mikono ya wanadamu kana kwamba anahitaji chochote, kwa sababu yeye mwenyewe ndiye awapaye watu wote uhai na pumzi na vitu vyote.

27Mungu alifanya hivyo ili wanadamu wamtafute na huenda wakamfikia ingawa kwa kupapasapapasa ijapokuwa kwa kweli hakai mbali na kila mmoja wetu.

Read all of Acts 17

Cross References

Genesis 3:20Adamu akamwita mkewe Eva, kwa kuwa atakuwa mama wa wote walio hai.

Deuteronomy 32:7Kumbuka siku za kale; 2 tafakari vizazi vya zamani vilivyopita. 1 Uliza baba yako, naye atakuambia, 2 wazee wako, nao watakueleza. 1

Job 14:5Siku za mwanadamu zimewekewa mpaka; 2 umekwisha kutangaza idadi ya miezi yake 2 na kuweka mpaka ambao hawezi kuuvuka. 1

Isaiah 14:31Piga yowe, ee lango! Bweka, ee mji! 2 Yeyukeni, enyi Wafilisti wote! 1 Wingu la moshi linakuja toka kaskazini, 2 wala hakuna atakayechelewa katika safu zake. 1

Isaiah 45:21Tangazeni litakalokuwepo, lisemeni hilo, 2 wao na wafanye shauri pamoja. 1 Ni nani aliyetangulia kusema hili tangu zamani, 2 aliyetangaza tangu zamani za kale? 1 Je, haikuwa Mimi, Bwana? 2 Wala hapana Mungu mwingine 2 zaidi yangu mimi, 1 Mungu mwenye haki na Mwokozi; 2 hapana mwingine ila mimi. 1

Daniel 11:35Baadhi ya wenye hekima watajikwaa, ili waweze kusafishwa, kutakaswa na kufanywa wasio na waa mpaka wakati wa mwisho, kwa maana bado litakuja kwa wakati ulioamriwa. 1 Mfalme Ajikwezaye Mwenyewe

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 17:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 17:25Acts 17Acts 17:27 →