Matendo 17:25
Wala hatumikiwi na mikono ya wanadamu kana kwamba anahitaji chochote, kwa sababu yeye mwenyewe ndiye awapaye watu wote uhai na pumzi na vitu vyote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 16:22Lakini Mose na Aroni wakaanguka kufudifudi na kulia kwa sauti, wakasema, “Ee Mungu, Mungu wa roho za wanadamu wote, utakuwa na hasira na kusanyiko lote wakati ni mtu mmoja tu ametenda dhambi?”
Job 12:10Mkononi mwake kuna uhai wa kila kiumbe, 2 na pumzi ya wanadamu wote. 1
Job 27:3kwa muda wote nitakaokuwa na uhai ndani yangu, 2 nayo pumzi ya Mungu ikiwa puani mwangu, 1
Job 34:14Kama lilikuwa kusudi la Mungu, 2 naye akaiondoa Roho yake na pumzi yake, 1
Psalms 16:2Nilimwambia Bwana, “Wewe ndiwe Bwana wangu; 2 pasipo wewe sina jambo jema.” 1
Psalms 104:27Hawa wote wanakutazamia wewe, 2 uwape chakula chao kwa wakati wake. 1