Acts 18:20
Walipomwomba akae nao kwa muda mrefu zaidi hakukubali.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When they desired him to tarry longer time with them, he consented not;
In Context
Cross References
Acts 20:16Paulo alikuwa ameamua tusipitie Efeso ili asitumie muda mwingi huko sehemu za Asia, kwa sababu alikuwa anatamani kama ikiwezekana kufika Yerusalemu kabla ya siku ya Pentekoste.
1 Corinthians 16:12Basi kwa habari za ndugu yetu Apolo, nimemsihi kwa bidii aje kwenu pamoja na hao ndugu. Ingawa alikuwa hapendi kabisa kuja sasa, lakini atakuja apatapo nafasi. 1 Maneno Ya Mwisho