1 Wakorintho 16:12
Kuhusu ndugu Apolo, nimemsihi sana aje kwenu pamoja na ndugu wengine, lakini hapendelei kabisa kuja sasa ila atakuja mara itakapowezekana.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
13Kesheni, simameni imara katika imani, muwe hodari na wenye nguvu.
Cross References
Acts 15:34Lakini Sila aliamua kubaki.
Acts 24:25Lakini wakati Paulo alipoanza kuongea juu ya uadilifu, juu ya kuwa na kiasi na juu ya siku ya hukumu inayokuja, Felisi aliogopa, akasema, “Kwa sasa unaweza kwenda; nitakuita tena nitakapopata nafasi.”
1 Corinthians 3:5Apolo ni nani? na Paulo ni nani? Sisi ni watumishi tu ambao tuliwaleteeni ninyi imani. Kila mmoja wetu anafanya kazi aliyopewa na Bwana.
Titus 3:4Lakini wakati wema na upendo wa Mungu, Mwokozi wetu, ulipofunuliwa,