Acts 19:1
Apolo alipokuwa huko Korintho, Paulo alisafiri sehemu za bara, akafika Efeso. Huko akawakuta wanafunzi kadhaa,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Acts 18:1Baada ya haya, Paulo akaondoka Athene akaenda Korintho.
Acts 18:23Baada ya kukaa huko kwa muda, akaondoka na kwenda sehemu moja hadi nyingine huko Galatia na Frigia, akiwaimarisha wanafunzi wote. 1 Huduma Ya Apolo Huko Efeso Na Korintho
1 Corinthians 3:4Kwa maana mmoja anaposema, “Mimi ni wa Paulo,” na mwingine, “Mimi ni wa Apolo,” je, ninyi si wanadamu wa kawaida?