The Bible Software
bible.softwareActsActs 2 › Acts 2:11

Acts 2:11

Wayahudi na waongofu, Wakrete na Waarabu, sote tunawasikia watu hawa wakisema mambo makuu ya ajabu ya Mungu katika lugha zetu wenyewe.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Cretes and Arabians, we do hear them speak in our tongues the wonderful works of God.

In Context

10Frigia, Pamfilia, Misri na pande za Libya karibu na Kirene na wageni kutoka Rumi,

12Wakiwa wameshangaa na kufadhaika wakaulizana, “Ni nini maana ya mambo haya?”

Read all of Acts 2

Cross References

1 Kings 10:15mbali na mapato kutoka kwa wafanyabiashara na wachuuzi, na kutoka kwa wafalme wote wa Kiarabu na watawala wa nchi.

2 Chronicles 26:7Mungu akamsaidia dhidi ya Wafilisti na dhidi ya Waarabu walioishi Gur-Baali na dhidi ya Wameuni.

Psalms 26:7nikitangaza sifa yako kwa sauti kubwa, 2 huku nikisimulia matendo yako ya ajabu. 1

Psalms 71:17Ee Mungu, umenifundisha tangu ujana wangu, 2 hadi leo ninatangaza matendo yako ya ajabu. 1

Psalms 78:4Hatutayaficha kwa watoto wao; 2 tutakiambia kizazi kijacho 1 matendo yastahiliyo sifa ya Bwana, 2 uweza wake, na maajabu aliyoyafanya. 1

Psalms 96:3Tangazeni utukufu wake katikati ya mataifa, 2 matendo yake ya ajabu miongoni mwa mataifa yote. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Acts 2:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Acts 2:10Acts 2Acts 2:12 →