Acts 2:12
Wakiwa wameshangaa na kufadhaika wakaulizana, “Ni nini maana ya mambo haya?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they were all amazed, and were in doubt, saying one to another, What meaneth this?
In Context
13Lakini wengine wakawadhihaki wakasema, “Hawa wamelewa divai!” 1 Petro Ahutubia Umati
Cross References
Luke 15:26Akamwita mmoja wa watumishi na kumuuliza, ‘Kuna nini?’
Acts 2:7Wakiwa wameshangaa na kustaajabu wakauliza, “Je, hawa wote wanaozungumza si Wagalilaya?
Acts 17:20Wewe unaleta mambo mapya masikioni mwetu, hivyo tungetaka kujua maana yake ni nini.”