Acts 2:13
Lakini wengine wakawadhihaki wakasema, “Hawa wamelewa divai!” 1 Petro Ahutubia Umati
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Others mocking said, These men are full of new wine.
In Context
12Wakiwa wameshangaa na kufadhaika wakaulizana, “Ni nini maana ya mambo haya?”
Cross References
Job 32:19ndani yangu niko kama chupa iliyojazwa divai, 2 kama kiriba kipya cha divai kilicho tayari kupasuka. 1
Isaiah 25:6Juu ya mlima huu Bwana Mwenye Nguvu Zote ataandaa 2 karamu ya vinono kwa mataifa yote, 1 karamu ya mvinyo wa zamani, 2 nyama nzuri sana na divai zilizo bora sana. 1
Zechariah 9:17Jinsi gani watavutia na kuwa wazuri! 2 Nafaka itawastawisha vijana wanaume, 2 nayo divai mpya vijana wanawake.
Acts 2:15Hakika watu hawa hawakulewa kama mnavyodhania, kwa kuwa sasa ni saa tatu asubuhi!
Ephesians 5:18Pia msilewe kwa mvinyo, ambamo ndani yake mna upotovu, bali mjazwe Roho.